☑️Ni Chumba Kikubwa cha kulala
☑️Sebule Kubwa
☑️Jiko lenye makabati chini na sink la kuoshea vyombo
☑️Choo/Bafu ndani kwa ndani
☑️Kabati la nguo ukutani
☑️Full tiles
☑️Maji yapo, Umeme Upo
☑️Nyumba imo ndni ya uzio wa ukuta na Geti
☑️Wapangaji ni wanne tu
☑️Usalama ni asilimia 💯
☑️Nyumba ni Nzuri na Safi ndani na nje
⛔Kodi 150,000/- kwa Mwezi
📞Piga simu sasa +255 693 092 352
(Chumba cha jikoni na Toilet vinaonyesha giza kwasababu video ilirekodiwa usiku na hapakuwa na taa katika vyumba hivyo)

Comments
Post a Comment