☑️Chumba cha kulala
☑️Sebule
☑️Choo/Bafu na Jiko ndani kwa ndani
☑️Full tiles, Full paving
☑️Parking ya kutosha
☑️Maji yapo umeme upo (kila mpangaji na Mita yake).
☑️Nyumba imo ndani Uzio wa Ukuta na Geti
☑️Mazingira safi na ya kuvutia sana!!
☑️Pametulia ni Amani na Shwari👌
⛔Kodi 150,000/- kwa Mwezi x 6
📞Piga simu sasa +255 693 092 352
Comments
Post a Comment