☑️Chumba kimoja kikubwa sana
☑️Unaweza kukigawa mara mbili kwa mapazia ili kupata sebule na chumba cha kulala
☑️Choo/Bafu na Jiko kwa pembeni, vyote ni ndani kwa ndani
☑️Full tiles
☑️Madirisha makubwa hewa ya kutosha kabisa
☑️Maji yapo na Umeme upo
☑️Nyumba imo ndani ya Uzio na Geti
☑️Karibu kabisa na Barabara
☑️Usalama mkubwa sana wa uhakika asilimia ๐ฏ
⛔Kodi 130,000/- kwa Mwezi
๐Wahi Mapema๐๐๐๐
๐Piga simu sasa +255 693 092 352

Comments
Post a Comment